Millionaire  AdsWrite comments

xx Ujue mtandao unaofanana na facebook ambao unalipa admins wa groups
June 10, 2017, 10:33:32 pm by Support
Napenda nikushirikishe fulsa hii inayopatikana mtandaoni. Kuna mtandao unaitwa JAMAA mtandao huu unafanana kabisa na Facebook kizuri kilichopo kwenye mtandao wa JAMAA ni kwamba ukiunda group na ku-add members kwenye group lako unalipwa kila mwisho wa mwezi kulingana na idadi ya wanao-chat kwenye group lako.

Hizi ndizo fulsa zinazopatikana kwenye intaneti. Ukiwa na group la watu 5000 nadhani utafungua ofisi kabisa mtaani kwako na utanunua kompyuta na simu nzuri kwa ajili ya kazi hiyo tu. Anza leo kuunda group lako uwe mkurugenzi wa group lako kila mwisho wa mwezi unapokea mshahara wako.

Ukipata habari yoyote ile kama hii ipokee kisha ifanyie kazi kwa kufanya uchunguzi ili kesho upate cha kusema ambacho ni sahihi pindi ukikutana na JAMAA yako mtaani. Tumia dakika mbili ingia kwenye mtandao wa JAMAA kwa kubonyeza link hii https://www.jamaaonline.com

Au kama unasoma hapa kwa kutumia simu basi weka app ya JAMAA toka play store bonyeza link hii https://play.google.com/store/apps/details?id=com.jamaa.tz

Hakika utakuwa shuhuda kwa wengine.
0 comments | Write Comment

xx Nunua mtandao huu wa chatguest utengeneze pesa kupitia matangazo
May 29, 2017, 10:44:52 pm by Support
Kama unavyouona mtandao huu wa www.chatguest.com una members zaidi ya elfu saba. Nunua leo kwa bei ya promotion Tunauuza sh laki mbili tu tumeshusha bei. domain imelipiwa mpaka mwaka 2028

Ukihitaji kununua mtandao huu njoo whatsapp kwenye namba hii 0652428852 au telegram kwenye namba hiyo hiyo. Unaweza kuuziwa na akaunti ya matangazo ya infolinks ambayo ina $81 mpaka siku ya leo lakini hiyo pesa ya matangazo haijajumlishwa kwenye bei ya mtandao wa chatguest. Pia na akaunti ya mtangazo ya seebait utapewa bure japo inapesa kidogo. changamkia fulsa hii

kwanini tunauza mtandao huu
Sababu ni kwamba tumejikita kwenye mtandao mpya unaohudumia wamilki wa blog duniani kwa kuwapa matangazo yanayowalipa na kutangaza blog zao mtandao wenyewe ni www.millionairebloggers.com. karibu ujisajiri huko
0 comments | Write Comment

xx JE? Unajua utajiri nini?
May 24, 2017, 09:19:05 pm by adamkayombo95
Kunautajiri waina nyingi sana. Naisio utajiri pesa na mali  HAPANA. Nihivi. Utajiri inaweza kuwa akili uliyo kuwanayo katika kuitumia mfano;  (ELIMU) ukiwana elimu utoe elimu ktk jamii kulingana ulio kuwa nayo. Hapo utapata utajiri sana.

UTAJIRI
   
1,KUWANA KILAKITU AMBACHO WENGINE HAWANA
 2,ELIMU YA JUU. PIA UTAJIRI WAMAARIFA
3,FIKRA SAFI. INAKUSAIDIA KUTATUA MAMBO KIRAHISI 
4.HATA UKIWA MUIMBAJI PIA NI UTAJIRI KUPITIA SAUTI.
5.KAZI PIA NIUTAJIRI WAKUFIKIA MALENGO
6.BIDII PIA NIUTAJIRI AMBAO WENGI HAWANA NA NDIO HUWA CHINI KIUCHUMI. Asante sana. By adamkayombo95@gmail.com


Sent from my itel it1701 using Tapatalk

1 comment | Write Comment

xx Sawa
May 18, 2017, 06:14:56 am by adamkayombo95
Asante

Sent from my itel it1701 using Tapatalk

0 comments | Write Comment

xx Chatguest.com is sold, it can be users today
April 14, 2017, 12:01:44 pm by Support
Hello user of chatguest.com we would like to inform you that this website is sold. The forum site chatguest.com has more than 7000 members who signed up. The domain chatguest.com domain is paid up to 2028. The age of this domain is from 2013

Price is USD 250 only.

You can contact us at whatsapp or telegram using this number +255652428852 or show your interest here. We sell this site because we changed our blogging idea now we are at http://www.millionairebloggers.com we encourage you to sign up too.
0 comments | Write Comment

xx Sasa unalipwa kila mwisho wa mwezi ukiwa admin wa group kwenye mtandao wa wasapu
March 19, 2017, 12:42:32 am by Support
Habari ndugu mtumiaji wa mtandao wa chatguest. Ni muda mrefu hujaonekana kwenye forum yetu ukichangia mada. Tunapenda kukupa fulsa nyingine ambayo unalipwa kwa kuwa admin wa group ulipendalo kwenye mtandao wa wasapu sio whatsapp.

wasapu ni mtandao unaokuwezesha kutuma sms bila kikomo na unaweza piga simu duniani kwote kwa kutumia intaneti na sio vocha za simu.

Mtandao huu wa wasapu unamilikiwa na mtanzania ambaye ni Mkurugenzi wa mtandao wa www.millionairebloggers.com , chatguest na Millionaire ads. Sasa unalipwa ukiunda group lako na ku- add members kwenye group lako.

Weka app ya wasapu toka google play store kwa kusearch neno wasapu au bonyeza link hii https://play.google.com/store/apps/details?id=com.wWasapu

Jinsi ya kulipwa na kias cha malipo vyote vimeelezewa kwenye app hiyo ukisha weka kwenye simu utaweza kusoma maelekezo yote kuhusu malipo kila mwisho wa mwezi

Wasapu kwa sasa inakubali kwenye simu tu sio kompyuta

Hakikisha umejiunga na forum yetu mpya  ya www.millionairebloggers.com tukufundishe jinsi ya kutajirika mitandaoni kwa kutumia blogs na njia nyingine nyingi
1 comment | Write Comment

xx Greencard 2017
March 18, 2017, 10:54:02 pm by LeonardFrom
Sure  American dv lottery 2017 application formL1b visa extension in usapeople are eligible to commit in the interest a callow membership card (stable estate) while favourable the Combined States. An immediate relative relationship allows you to glue on Cut  Scannable fake idsCheck case status I-485, Appeal to Enter Enduring Home or Regulate Status, to enhance a stable resident at the word-for-word period your U.S. citizen petitioner files Form I-130, Obsecrate an eye to Outlander Relative. Exchange for more word on filing representing  Visas to americaCustom id cards maxarmory endless residence in a specific move, conscious of our Concurrent Filing page.
I am a
All of these need a Form I-360, Solicitation due to the fact that Amerasian, Widow(er), or Singular Immigrant, and are described in Section 101(a)(27) of the Immigration and Bloodline Act (INA).
"Hereditary" habitually  How can i become a us citizenUsa visa entrymeans someone born in a exceptional mother country, regardless of the special's contemporary fatherland of  Fast passport applicationGovernment passport application formestate or nationality. But representing immigration purposes "intrinsic" can also using someone who is entitled to be "charged" to a c...
0 comments | Write Comment

Best paid Game of the day. Get paid now

Ofa Ofa Ukicheza gemu hili leo na kupata alama kubwa zaidi ya wengine kuanzia alama 600 ndani ya dakika 2 tuambie tukutumie sh.10,000 kwa mpesa tigo pesa au airtel money cheza sasa bofya game kucheza
 click to play get paid
Kesho linaweza kuchaguliwa game jingine kama game la siku na utapangiwa pesa ya kulipwa. Kumbuka unaweza kuchagua magemu mengine kwa kubonyeza hapa Kucheza game hili tumia alama za mishale kwenye kompyuta yako

+-Chatguest Radio

 Karibu ndugu msikilizaji,Sikiliza vipindi mbalimbali vinavyoandaliwa na watangazaji mahiri toka pande zote za dunia. Kudownload bonyeza kona ya juu kulia kwenye redio yako. Kufuatilia vipindi vingine Bofya hapa

Mada: Matumizi ya mitandao ya kijamii. Mada: Unyanyasaji kwa wanyama. Taarifa ya habari 16/10/2015
         
         Download hapa                                    Download hapa                                 Download hapa
Mada: Tajirika hapa chatguest.com
  Vipindi vingine vinakujia hapa hivi punde.. Record sauti ulipwe Jua zaidi
       Download hapa
          ..

Pm Friends online now

45 Guests, 0 Users

Hi! Our newest member

Eston Eston
Millionaire  

+-Share your link get paid

+-Anzisha mada yako ijadiliwe

Play games get paid

 Click to play get paid

 Click to play get paid

 Click to play get paid

 Click to play get paid

 Click to play get paid


Millionaire  Ads

+-Chatguest Members images

Millionaire  Ads
Never use defamatory language, Do not dare to disturb someones peace on this online Forum
 Copyright ©2016 Chatguest.com. All rights Reserved